01
Days
00
Hours
00
Minutes

Unajua sana UJUZI wako LAKINI, Benki HUNA Kitu...?

Hii Ni Nafasi yako ya MWISHO Kujifunza SIRI za Wataalam za KUUZA UJUZI wako Mtandaoni Bila Mtaji, Elimu Wala Uzoefu Wowote.


Usichokijua ni kwamba...


Watu Unaowazidi Ujanja na Maarifa wanaingiza mamilioni kwa aina hii ya Biashara...


Wakati Wewe na Watu wenye Akili na Elimu Mmeamua Kuamini kwenye Vyeti na yale Mliyofundishwa Shuleni.

Kwa bahati njema sana kwa zama hizi za intaneti huhitaji elimu wala vyeti au mtaji kuweza kufanikiwa.


Hii ni Fursa Mpya Iliyothibitiswa kuwa Njia ya Mkato ya Kujenga Biashara Mtandaoni kwa Kutumia Ujuzi, Maarifa au Pasion yako Na Kuingiza Pesa Ndefu Kila Siku Na Sio Kusubiri Mwisho wa Mwezi.



Najua bado unashangaa,


Nakuelewa vyema sana.


Unajua kwanini?


Ndivyo jamii na shule zimekuaminisha kuwa unahitaji MTAJI ili kuanzisha biashara,


Au VYETI ili Kupata ajira.


Kwa zama hizi za intaneti na mitandao, hii imebaki historia.


Hi…


“Mimi ni Revocatus Millambo”  a.k.a #JeshiLaMtuMmoja,


Ni brand strategist na mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Saalaam.


Nawasaidia wajasiliamali wakubwa na wadogo, influencers na content creators kuchunguza na kutathimini personal brand zao na kufanya maamuzi ya lazima ili kukua kimkakati na kuingiza kipato kupitia hadhira yao.


Kazi yangu kubwa ni kukupa mifumo endelevu ya uzalishaji na biashara ili uweze kufanikiwa kuwa na biashara kwenye kile unachofanya.



Sitasahau Mwaka 2020 December 01,

Nikiwa na kampuni yangu ya eHuduma,


Kampuni iliyokuwa inawakutananisha watoa huduma na wanunuzi.


Niliamua kufuinga biashara hii ilikuwa sokoni kwa karibu miaka 4.


Niliamua kufunga biashara niliyokuwa nimewekeza zaidi ya Tshs. 15M. 



Sasa Najua Unajiuliza,


Kwanini jamaa alifunga biashara hii?


Naam, jibu ni fupi tu.


Nilikosa msukumo wa ndani na nikagundua sio kila kazi au biashara inakufaa.


Ndipo nilipogundua, bado nilikuwa sijajipata, na sikujua kusudu langu.


Kwa sababu kadri nilivyokuwa nakomaa kufanya kazi, bado niliona kama najilazimisha.



Baada ya kufunga na kuingia kwenye tafakari kubwa na kujitafuta upya.


Ndipo nilipoamua kuwekeza kwenye mambo ninayopenda zaidi na yananipa maana ya maisha.


Niliamua rasmi kuwasaidia vijana kuishi kusudi lao na kuingiza kipato kupitia kujenga brand mtandaoni.

Na Mpaka sasa:


>> Nimefanikiwa kubadili kabisa kipato changu kwa kuingiza kupitia kile napenda kufanya.


>>Nimefanikiwa kunyanyua maelfu ya vijana ndani na nje ya Tanzania.


>> Nimefanikiwa kugusa maisha ya vijana zaidi ya 203 kwa kupitia coaching na mentorship programs.

>> Nimefanikiwa kuwasaidia wafanyakazi wengi kubadili maarifa yao na kuuza bidhaa za taarifa.


>> Nimefanikiwa kujenga community mtandaoni ya watu zaidi ya 100,000 na bado tunakuwa kwa kasi.


Ndoto yangu ni kuona vijana wengi wananufaika na fursa za intaneti ambazo hazina vikwazo.


Kwanini nakuambia yote haya?

Kwa sababu nataka kila mtu apate siri niliyotumia kupata wazo langu la biashara linaloendana na kusudi langu. 



Hapa Nataka Ufahamu haya mambo 5.



1-- Internet inampa kila mtu uwezo wa kufanya kile anataka.


2-- Huhitaji vyeti wala digrii kuweza kuingiza kipato mtandaoni.


3-- Bidhaa za taarifa unatengeneza mara 1 na kuuza kila siku.


4-- Mtandaoni wanaofanikiwa sio wenye akili nyingi; bali ni wajanja wanaochukua hatua.


5-- Hebu piga picha Kutengeneza Ebook au PDF 1 na kuiuza milele.


Na kwa taarifa yako tu,


"Intaneti ndio njia iliyotengeneza mamilionea wengi zaidi vijana ndani ya miaka 10 iliyopita tangu dunia imeumbwa...Nairaland, 2024"


Hushituki kama umepoteza muda mwingi kufanya mambo magumu yasio tija.


Labda Nikuulize!


Kina Joel Nanauka, Clam, Niffer, Amos Nyanda, Snash-

TZ na Kelvin Kibenje wana nini special cha kukuzidi wewe?


HAMNA...


 


Kiukweli hamna, sio kwa sababu ya vyeti vikali wala kutoka familia bora.


Lakini ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao walishutukia utajiri uliomo Mtandaoni na kujiongeza.


Hii ndio tofauti pekee.


Na hii itoshe kukwambia kuwa, unaweza kuwa mmoja wao.


Lakini sio kwa kutamani, la hasha.


Kuamua - Kujifunza - Kuwekeza Na kutekeleza 100%.


Na intaneti ndio chimbo pekee llinalotoa fursa sawa kwa wote bila kujali kabila, umri wala elimu.


Maana yake kama unaamua kushindwa ni wewe mwenyewe umetaka.


Intaneti huwatunuku bila upendeleo wale wanaoitafuta tunu.


Na ni wale:


Rafiki Mpendwa…


Dunia Imebadilika…

 

Tumetoka kwenye kutegemea kazi kupata maisha (job economy),


Na sasa tupo kwenye ujuzi wa thamani (skills economy)

 

Maana yake ni kwamba


Kama una:


Maarifa, ujuzi, taarifa, kipaji, passion, mapendeleo… Umekalia pesa zako!



NA…


Kitu kizuri ni kuwa kwa Kutumia SIRI hizi kutengeneza Pesa kwa kuuza bidhaa ZAKO za Taarifa,


HUHITAJI:


-- Digrii au Vyeti au GPA kali


-- Kujua Kiingereza


-- Mtaji wowote


-- Kuwa na followers wengi


-- Kuwa na uzoefu wowote


-- Mtaalamu wa jambo fulani


Hapo ulipo una kila kitu cha kukuwezesha kutumia SIRI hizi kubadili maisha yako.



Pengine sasa hivi unajiuliza je, hii inamhusu nani?


Hii ni maalum kwako kama ni:

-- Mhitimu


-- Influencer


-- Freelancer


-- Mwajiriwa


-- Content creator


-- Network marketer


-- Mjasiriamali "Mdogo Au Mkubwa"


-- Mfanyabiashara "Mdogo Au Mkubwa"


Na yoyote anayetafuta ajira Na pengine...


  • Unatamani kujenga brand yako mtandaoni lakini hujui uanzie wapi,


  • Hujui jinsi ya kukuza followers na kujenga community yako,


  • Hujui namna bora ya ku-package taarifa ulizonazo kichwani na kutengeneza bidhaa,


  • Una biashara lakini hujui namna bora ya kuji-position na kuuza vya kutosha,


  • Upo kwenye niche lakini umeshindwa kuji-position kama mtaalam mwenye upekee sokoni,


  • Umeanza lakini bado unasumbuka kupata niche sahihi ya kufanya,


  • Hauna mifumo maalum ya kuzalisha maudhui na kujikuta unakosa cha kupost mara kwa mara,


  • Unashare sana madini lakini hupati wateja wa kununu bidhaa zako,


Na pengine tu umepotean na hujui ufanye nini...


Kazi yangu kubwa ni kukutoa gizani na kukuwashia taa itakayokuonesha njia ya kuingiza kipato endelevu mtandaoni.


Na utaenda kuwa mtu hatari kwa kugeuza maneno kuwa bidhaa za taarifa ambazo watu wanalilia kuzinunua.

 

Naam, hujanisikia vibaya.

 

Kwa ujuzi niliotaja hapo juu utaweza kubadili taarifa na maarifa kuwa pesa.


Na hii ndio maana halisi ya ‘making money from thin air’.


Yaani… ‘Kutengeneza pesa kutoka hewani’.

 

Unaweza kudhani ni kama mzaha vile lakini tayari mamilioni ya wa watu duniani wanatumia fursa hii.


Kibongo bongo ndio kwanza sisi tupo kizazi cha kwanza kwa aina hii ya biashara.


Kwahiyo fursa bado mbichi sana na watakaochangamka mapema ndio watakaokuwa na uwezo wa kufanikiwa kwa haraka.


Mfano halisi, ni kitabu changu cha 'Tiba Pekee ya Kudumu ya Nguvu za Kiume' Kimeingiza mpunga mrefu na bado kinaendelea kuleta pesa usiku na mchana.


Na haya Ni mauzo yangu ya siku 2 tu...


Ukumbuke Niliandika Mara 1 Lakini Nitakiuza MILELE.


Na hiki ni kimoja tu kati ya vingi, bado kuna kozi, coaching programs n.k.


Sasa wenzako tayari wamechukua hatua kuanza kujibadili kuwa mashine za ku-print pesa.


Na fursa hii ipo wazi kwa kila mtu.


Tofauti ni moja tu.


Wakati wewe unatafakari hapa,


Wenzako tayari kitambo wanakula matunda.


Sasa nimekuandalia E-book mpya ambayo itakupa:

  • Mbinu za kukuza hadhira

  • Mbinu za kujenga mamlaka

  • Jinsi ya kuuza bidhaa kama njugu

  • Mbinu za kujua niche yako vyema

  • Mbinu za kuunda bidhaa za taarifa

  • Mbinu za kukusaidia kuaminika zaidi

  • Namna ya kukuza mahusiano kwa maendeleo ya muda mrefu

 

Na kwa sasa hivi E-Book hii haipo wazi kwa kila mtu.


Nitaanza na watu 50 tu watakaobahatika kuipata wa kwanza.


Ni hawa wachache watakaoenda kupata ofa ya kufa mtu ya kutoboa mwaka 2025.


Nikwambie tu,

 

"WEWE NI MGODI-

Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji Kuwa Pesa"


Hii ni E-Book niliyoiandika kwa mwaka mzima 2024, tangu January - December.


Imeandikwa kwa mfumo wa vitendo na kijenga uzoefu. Yaani utajifunza kwa vitendo zaidi.


Kitu kizuri ni kwamba E-Book hii haikulazimishi kujifunza mambo mapya.


Hapana.


Ujuzi wako, maarifa yako, taarifa zako hizo hizo ndizo tunazichakata na kukuonesha namna ya:


  1. Kuzifundisha kwa watu

2. Kuzithibitisha kuwa mifumo yenye matokeo na

3. Kuzibadili kuwa bidhaa za taarifa zinazojiuza zenyewe


Ndio maana E-Book itaenda kuwa kitabu cha lazima kwa kila kijana wa Kitanzania anayetaka kufanikiwa kupitia mitandao ya kijamii.


Maana yake unajifunza shule ya kubadili AKILI yako kuwa PESA kupitia ushawishi.



Na Hizi ni Nusu ya SIRI Utakazoenda Kuzipata kwenye E-Book Hii...


>> Siri iliyojificha nyuma ya kutengeneza maudhui, kunako sura ya tatu utajifunza siri za kuwa mbele ya washindani wako kupitia maudhui... UK...12.


>> Ziko njia 4 za kuingiza kipato. Njia 1 itakufanya masikini, utajifunza namna ya kuikwepa na kutumia njia namba 3 itakayokupa uhakika wa mafanikio... UK...22


>> Unaweza kuwa na thamani kubwa lakini hujui kama ni mgodi. Hapa utajifunza aina 2 za Kuzalisha thamani ambazo zitakuweka mbele ya muda...UK...37


>> Njia 8 za zitakazokuza uwezo wa wako wa kipekee ili kujitofautisha na kila mtu na kutumia zawadi zako kuingiza kipato... UK...50.


>> Siri za kujenga umahiri na kuwa miongoni mwa watu wenye mamlaka kwenye niche yako tofauti na wengi wanaofanya kwa mazoea... UK...78


>> Jinsi ya kujenga kabila na kijiji chako mtandaoni ambacho kitakuwa chini yako kwa maelekezo. Ukisema kitu wafate. Ukileta bidhaa wanunue... Hii utaisoma UK....92, 95.


>> Siri iliyojificha kenye aina mpya ya pesa - Attention ambayo hapoa utajifunza mbinu sahihi za kukamata attention na kuhakikisha watu wanakuzingatia... UK...90..


>> Kwa zama hizi ubunifu unazidi kupungua na watu wanazidi kuwa copy za watu wengine. Hapa utajifunza jinsi ya kuwa mbunifu na kuonesha upekee sokoni ili kujitenga na ushindani... UK...97.


>>Kuna siri 1 tu kwenye kujenga jina na kutambulika kwa haraka mtandaoni. Nayo ni kuhakikisha una mhuri wako ambamo hakuna mtu anaweza kupita... UK...106.


>> Jinsi ya kujenga brand yenye mamlaka na mvuto mpaka wafuasi wako watamani kuwa kama wewe... UK...108


>> Kuna watu tayari wana majina makubwa lakini hawana vipato, kisa hawajui wauze nini kwa wakati gani. Hapa utajifunza aina zote za bidhaa za taarifa na kujua jinsi ya kupanga bei... UK...110.


 

Kwa ufupi kabisa utajifunza kila kitu kuanzia, kujenga brand, kukuza followers, kubadili maarifa yako kuwa bidhaa na kuwa mtu wa mfano ambaye wafuasi wako watakuwa wanatamani kuwa kama wewe.


... Hapa tunakubadili kuwa mtaalamu kwenye niche yako.

 


Mpaka sasa una kila kitu unachohitaji.


Haya maarifa nimeyatumia na kuyathibitisha mimi mwenyewe kwa miaka zaidi ya 5.


Nimewafanyia mentorship mamia ya vijana ambao wanafanya poa mtandaoni.


Ni zamu yako sasa kuwa miongoni mwa watu 30 tu wenye bahati ya kujipatia E-Book hii ndani ya mwezi huu ili kujenga uwezo na kuanza kingiza kipato.


Yaani baada ya siku 40 za kufata mafunzo haya kwa vitendo utakuwa mbele ya 97% ya wanaotumia mitandao bila kujua wanafanya nini.

Pengine unaweza kujiuliza nini tofauti ya E-Book hii na kozi na vitabu vingine.


Vyema,


Tofauti ipo bayana.


Mimi sipo hapa kuchukua senti yako ili kukufundisha mambo ambayo hutaenda kuyatumia hata kidogo kwenye maisha yako.


E-Book hii inaenda kubadili kabisa maisha yako na hasa namna ya kujibadili kuwa mashine ya kuchapa pesa.


Unaweza kusema oh,


Millambo mbona mimi sina kitu ninachojua...!


Au mbona mimi sio mtaalam wa kitu chochote?


Ni hofu tu.


Unavyo vingi sana.


Kila mwandamu anajua mambo mengi tofauti na watu wengine.


Na hicho ulicho nacho ndicho pesa yenyewe (maarifa, ujuzi, kipaji, hobby n.k).


Utakachokipata hapa ni ujuzi wa kubadili huo ujuzi au maarifa kuwa pesa.


Utaenda kujenga ujuzi ambao ni hatari kwa kizazi hiki.


Ujuzi ambao ni wa lazima kama una malengo ya kupata uhuru wa kifedha.


Uwe unataka kuuza bidhaa zako mtandaoni.


Uwe unataka kufanya freelancing.


Uwe unataka kuendisha agency yako au


Uwe unataka kuingia kwenye network marketing.

 

Nikisema Kubadili Maarifa na Ujuzi kuwa Pesa - Maana yake nini?

  1. Kufundsha mahusiano na kuingiza kipato

  2. Kufundisha sheria na kuingiza kipato

  3. Kufundisha mambo ya fedha na kuingiza kipato

  4. Kufundisha uwekezaji na kuingiza kipato

  5. Kufundisha mapishi na kuingiza kipato

  6. Kufundisha kuimba na kuingiza kipato

  7. Kufundisha kurusha matangazo na kuingiza kipato

  8. Kufundisha kukata vitambi na kuingiza kipato

  9. Kufundisha kuondoa ugumba na kuingiza kipato

  10. Kufundisha nguvu za kiume na kuingiza kipato

  11. Kufundisha real estate na kuingiza kipato

  12. Kufundisha crypo currency na kuingiza kipato

  13. Kufundisha Forex na kuingiza kipato

  14. Kufundisha web design na kuingiza kipato

  15. Kufundisha uandishi na kuingiza kipato

  16. Kufundisha content marketing na kuingiza kipato

  17. Kufundisha mavazi na kuingiza kipato

  18. Kufundisha mapambo na kuingiza kipato

  19. Kufundisha urembo na kuingiza kipato

  20. Kufundisha mambo ya ndoa na kuingiza kipato


Sasa Unajipatia nini ukiwa miongoni mwa watu 50 wa mwanzo?


Well,


Utaenda kujipatia E-Book yenye full package ya Kuanzia jinsi ya kupata wazo la biashara mpaka ku-monetise ujuzi wako.


Lakini,


Pia utapata FREE MASTERCLASS ambayo niliyofundisha LIVE yote niliyoandika kwenye E-Book hii. Yaani utakuwa na kitabu na na recorded Masterclass.


Wewe uliwahi kusikia wapi hii?


Naam,


Nitakufundisha yote niliyokuandalia kwenye E-Book hii ili ukishindwa kufanikiwa uwe umependa mwenyewe.


Kiukweli nimedhamiria kubadili kabisa maisha yako.


Kwanza utajipatia E-Book + Bonasi zako zaidi ya 15


Kisha utaungwa kwenye group la Wewe ni Mgodi ili kujifunza na Wataalam wengine na kushare uzoefu.


Awamu hii hakuna mtu kuachwa nyuma maana kila jiwe litageuzwa.

Na Sio Hivyo Tu…


Kama utalipia E-Book Hii Ndani ya Saa 24 Utapata

BONASI zaidi ya 15 zenye Thamani ys Tshs. 737,000 BURE Kabisa.


Nazo ni kama zifuatazo:

 

BONASI #1: Utapata recorded MASTERCLASS ya E-Book Hii

Utajifunza kwa vitendo na utasikia nitajibu maswali live ili kukupa uelewa zaidi.

Kwa kawaida bei yake ni 67,000/= lakini wewe unaipata bure.


BONASI #2: Utaungwa kwenye group la Mentorship Bure kwa siku zote.

Humu utauliza maswali kila siku na kujibiwa na utapata kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamekweisha kufanikiwa.

Kwa kawaida bei yake ni 480,000/= kwa mwaka. Wewe unaipata bure.


Kumbuka hutakuwa na shida ya kukosa mentor tena. Mimi nipo kwa ajili yako.


BONASI #3: X Growth Blueprint itakayokupa mbinu A-Z ya jinsi ya kujenga brand yako X.

Huu ni mwongozo utakaokuhakikishia kutoka followers 1K - 10K ndani ya miezi 9 tu.

Bei yake huwa ni Tshs. 19,000/-, Lakini wewe utaipata Bure.


BONASI #4: Orodha ya machimbo 100+ ambazo zemethibitiswa kuuza bidhaa kama njugu mtandaoni.

Ukiwa na list hii, ushindwe wewe tu maana zote zimetestiwa na zinachapisha pesa mtandaoni.

Kwa kawaida bei yake ni 20,000/=, Lakini wewe unaipata bure.


BONASI #5: Utajipatia Orodha ya E-books 200 ambazo zinafanya vyema sokoni.

Kwa orodha hii ni wewe tu kuamua leo uandike ebook ipi maana kulingana na niche yako.

Kwa kawaida bei yake ni 27,000/= lakini wewe unaipata bure.


BONASI #6: Formula ya siri ya kuandika DM na ku-network kimkakati.

Nimeitumia, wengi nimewafundisha wamefanikiwa, na wewe lazima uitumie ili kujenga kabila lako.

Kwa kawaida bei yake ni 15,000/= lakini wewe unaipata bure.


BONASI #7: Benki ya STORI zako zote ambazo zitakusaidia kuwa mwandishi mwenye ushawishi kila siku.

Hii ni Formula ya siri kukuhakikishia utajiri wa stori zako mwenyewe. Utashangaa vile ni rahisi kuwa na stori kwa kutumia formula hii.

Unataka kujua namna ya kuandika ili kujenga chapa na kukuza biashara. Simulia stori.

Hii Gharama yake ni Tshs. 25,000/=, Lakini wewe utaipata bure.


BONASI 8#: Formula ya siri ya kupata wazo la biashara biashara iliyothibitishwa zaidi ya miaka 200+.

Hii ni FREE PDF ambayo inakueleza kwa kina jinsi ya kuchakata na kupata wazo la biashara ndani ya dakika 60 tu.

Gharama yake huwa natoza Tshs. 10,000/=, Lakini wewe utaipta Baure Kabisa.

 

BONASI #9: Copywriting 101.

Hii itakupa picha ya jinsi ya kuandika content zinazofanya vyema mtandaoni.

Hii Bei yake ni 5,000/= , Lakini wewe utaipata bure.


BONASI #10: Mindset ya Ushindi kwa ajili ya kusimama na kutoboa online.

Hii itakuandaa kuwa na ukuaji wa kifikra ii uweze kuwa tayari kupigania kesho yako na zaidi kujenga nidhamu ya maisha.

Hii Bei yake ni 35,000/=, Lakini wewe utaipata Bure.

Bonasi Hizi Zote Zenye Thamani ya Tshs. 703,000/-

Na...


E-Book ya Wewe Ni Mgodi -

Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji Chako Kuwa Pesa


Vyote Jumla Utavipata kwa 30,000/- Tu


Hivyo Unalipa

Tshs. 30,000 Tu Badala ya 733,000/-


Punguzo la Mwaka la ZaidiTshs. 700,000/-



Hebu ngoja kwanza,

Yaani Unapata THAMANI yote hii kwa bei ya kilo 3 tu za nyama duh!



NB: Bonasi zote hizi utazipata KAMA utalipia E-Book yako Sasa Hivi.



Ikumbukwe kuna nafasi 30 tu - Wakitimia hao siongezi hata 1 kwani nahitaji kufanya kqzi na watu hawa wachache ili kuwahakikishia matokeo.



Kupata kwa bei hii LIPA SASA HIVI

Tshs. 30,000/- TU


Yamebakia...

01
Days
00
Hours
00
Minutes
Nataka Kulipia E-Book SASA HIVI

 

Je, Nitawezaje Kujifunza kwa ufasaha E-Book hii?

  

Utapata recorded MASTERCLASS ambayo Utajifunza kwa kina kila kilichopo kwenye E-Book.


Lakini pia kwenye Group la Mentorship litakuwa na madini daily.


Mwingine atauliza,


Kwanini umeamua kuuza E-Book hii kwa bei ndogo hivi?

 

Kwa kawaida huwa nafanya Coaching Program ya Expert Business ambayo huwa nacharge 350,000/- na watu wengi huwa hawawezi kumudu.


Nimeamua kuifanya hii kuwa fursa kwa wote kabla ya mwaka kuisha.


Kwani mwaka 2025 gharama za zitakuwa juu sana.


Sasa ni wakati wa kuhakikisha hakuna mtu anabaki nyuma.


Hebu Angalia Hawa Wanasemaje...

Visit our landing page
Visit our landing page
Visit our landing page


Kupata Kwa Bei hii Zimebakia...

01
Days
00
Hours
00
Minutes
Naomba Kununua E-Book Yangu SASA HIVI

Sikia, Bado Sijamaliza...


Na ukitaka kujua nimedhamiria kubadili kabisa maisha yako nakuongeza hizi BONASI kama utalipia sasa hivi.


BONASI #11: Template ya siri ya kuandikia landing page ndani ya dakika 60 tu.

Hii itakuwezesha kuandika landing yoyote ndani ya dakika 60 bila shida yoyote.

Hii Bei yake ni 35,000/=, Lakini wewe utaipata Bure.


BONASI #12: Threads 16 za mfano zitakazokufunza jinsi za kuandika X.

Utakuwa bora kwenye kuandika kama utajifunza kwa walio bora.

Hizi Utazipata Bure kabisa.


BONASI #13: Tools za 3 wanazotumia ma-guru kufanyia utafiti wa content hasa X.

Hapa utapata kuona content zote zinazoenda virala na kujifunza kwa mifano.

Hii utazipata bure.


BONASI #14: AI Prompts za topic zote za copywriting - Hapa ni full kitonga.

Hapa ni mwendo wa kutembea na prompt tu mambo fresh hakuna kuumiza kichwa.

Hii bei yake ni Tshs. 19,000/-, Lakini wewe utazipata bure.


BONASI #1: Hii Ni SURPRISE Bonasi.

Utakachopata hapa kitakusaidia kuongeza kipato chako ndani ya siku 90 pekee.

Hii Bei yake ya ofa ni 97,000/=, Lakini wewe utaipata Bure.


Bonasi hizi thmani yake ni 151,000/- Ukijumlisha na zile za kwanza 703,000/-: Jumla ni Tshs. 854,000/-


NA Kubwa kuliko...


Ukinunua E-Book hii utalindwa na 100% Money Back Guarantee


Ukichukua programu hii, ndani ya mwezi mmoja utabadili kabisa upepo wako kwenye mitandao kwa kuongeza imani na kuuza kwa kasi.


Na watu watakwambia vile una nguvu kupitia maandishi na content zako.

 

Usipoona mabadiliko yoyote ndani ya siku 60, Njoo dai pesa yako.


Na mimi nitakurudishia bila maswali yoyote.


Jambo la msingi ni kuwa umetumia angalalu 50% ya maarifa haya.

 

Maana ukweli ni kwamba, unaweza kumpa mwanajeshi siraha namba moja duniani kwa ubora lakini kama hatajifunza kuitumia vyema vitani mtaishia kupigwa tu.


Hivyo, jambo la muhimu ni kujifunza kila kitu na kukiweka kwenye mazoezi mpaka kingie kwenye mfumo.


Tofauti na hapo hakuna nitakachoweza kukusaidia.


Ni jukumu lako kujifunza na kutekeleza. Maarifa bila mazoezi ni sawa na kupiga punyeto akili.


Hivyo, lazima utekeleze kile umenuia ili kubadili maisha.


Chukua hatua sasa kujipatia Kitabu cha WEWE NI MGODI


Muda ndio huu na unalindwa na...


Ofa Hii Inaisha Ndani Ya...

01
Days
00
Hours
00
Minutes
BOFYA Hapa Kupata OFA Yako SASA HIVI



Usipoteze fursa hii adhimu ya kujifunza,


Kozi 4 Ndani ya E-Book Moja Tu.

  1. Copywriting – Ujuzi wa kuuza kupitia maandishi

  2. Personal Branding – Sanaa ya kujenga chapa binafsi inayokubalika

  3. Content Creation – Ujuzi wa kuandaa maudhui ili kuvutia hadhira

  4. Biashara ya Utalamu – Biashara ya kubadili akili na maarifa kuwa pesa



Jibadili kuwa Mtaalamu unaetaka kuwa na,

Tumia mitandao kuzalisha pesa ukiwa umelala.


Jiunge leo na uanze safari yako ya kujenga empire yako.



Bila Kusahau Kuna surprise Bonasi + Recorded MASTERCLASS...


Ofa Inaisha Ndani Ya...

01
Days
00
Hours
00
Minutes
BOFYA Hapa Kupata OFA Yako SASA HIVI


"WEWE NI MGODI-

Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji Kuwa Pesa"

GetResponse